UTAJUAJE DAME NI WA KABETE. # Ukimdump kwa txt anakucall kukusho - TopicsExpress



          

UTAJUAJE DAME NI WA KABETE. # Ukimdump kwa txt anakucall kukusho "haina wass buda,tutapatana mtaani tu 1 of these days.nakwambia ile war ntakuona!wacha tu" # Ukimdara ata hafeel any,"mzeiya,saa unado??? unataka kuniudhi nn. ebu nyorosha hii maneno mi niende zangu.kubaff!" # Ukimpeleka out, kwa handbag, correction, hawananga handbag. wanaendanga freestlye,kwa mfuko ya jacket anabebanga chupa ya soda ndo kwa hoteli msiwache deposit # Mkiwa kejani alafu uskie harufu ya mnyambo,na unajua vizuri c ww,kumuangalia ni vita unatafuta mtunguyas so yubidi useme tu ni ww roho safi # Saa ya lungula, "nkt buda hii ndo ujinga spendi!shot sita na unajihemesha hapa ka doggy.ebu wacha nkuje juu nkuonyeshe!" # Ukimtumia txt romantic yukucall "kijana ata ka tunapendana,plz tusibebane ufala.hii ni mambo ya kuambiana tukimeet.sawa? kuanga unanitxt ama unanicall ukiwa na mradi pekee! na skwambii tena" funda!
Posted on: Thu, 25 Jul 2013 15:25:35 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015