UTAJUAJE NI BONGO MOVIE?-"" 1.Jini akifika - TopicsExpress



          

UTAJUAJE NI BONGO MOVIE?-"" 1.Jini akifika barabarani anaangalia pande zote ndo avuke barabara.-"" 2. Matajiri majumba yao yana askari badala ya electric fence & gates. 3.Trailer inachukua dakika 40. 4.Part2 ya movie ukiiona mwanzo unajua part1 ilikuwaje. 5.Madem wanaamka wanamake ups usoni na hereni kabisa. 6.Wakifika hotelini imezoeleka ni juice inaagizwa au wine isiyofunguliwa. 7.Nusu saa mtu anatembea,anafanya mazoezi,anakimbizwa au ananunua vitu. 8.Wimbo wa malavidavi unaimba mpaka unaisha. 9.Mtu yupo village,life gumu ana wave kichwani. 10.Wote wanaouwawa kwa risasi hupigwa kifuani au tumboni sio kichwani. 11.Jambazi lazima awe anavaa miwani nyeusi,koti kubwa na mvuta sigara mwenye sauti nene na sura ya kutisha 12Tajiri anakuja kumpenda maskini. 13. Jina La Movie La Kingereza, Ndani Mazungumzo Ni Kwa Kiswahili. 14.Editor Roy Kijusi, Camera man Inosenti Kijusi, graphic designer Roy Kijusi, Location manager Happy Kijusi, Mavazi Suzy Kijusi. 15.Movie inapart1 na part2,lakn ukiangalia unagundua ni disc.1 na disc.2 16.movie inaitwa life is harder (mfano) afu kwenye kava watu wameweka mapozi ya mamodo na warembo."" Hii ndio +255
Posted on: Wed, 24 Jul 2013 11:17:47 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015