UTAMU WA VANILA MTUNZI: COLIN BYBO SEHEMU YA - TopicsExpress



          

UTAMU WA VANILA MTUNZI: COLIN BYBO SEHEMU YA ISHIRINI(20) Ilipoishia Bas Colin akajikuta anatulia tuli mpaka yule nyoka aliekua anamtambaa mwili mzima alipokua anaondoka zake vichakani. Colin aliona kama ni miujiza kuachwa salama na nyoka yule pasipo kumtemea sumu. Colin alipoona eneo lile ni hatari kwake aliamua kuinuka pale alipolala na kuamua kupanda ktk ule mti wa mwembe uliokaribu yake. Basi ile Colin anaanza kupanda tu ule mti akashangaa kuona mti ule juu unawaka Moto wa ajabu,kutokana na hali ile alioiona ya kuwaka Moto mti alijikuta nguvu zinamuishia na hatimaye kudondoka chunk na kupoteza fahamu. Endelea sasa Baada ya Colin kudondoka ktk ule mti na kupoteza fahamu,mara ghafla akajitokeza kibibi kizee kilichokua na macho mekundu,uku kikiwa kimevalia mavazi mekundu na meusi. Basi kikaenda mpaka pale Colin alipodondokea na Kisha kikaanza kumgusa uso na mkono wake wa kulia. Alipomgusa ivyo tu, mara Colin akajikuta anazinduka toka usingizini na kujikuta yupo na kibibi kizee hiko. Kisha yule kibibi kizee kikamkazia Colin macho na hatimaye macho yake mayo yakaanza kubadilika na Kia mekundu pasipo Colin kujua. Yule bibi alipoona macho ya Colin yameshakua mekundu ndipo akayaangalia tena na hatimaye yakabadilika tena na kurudi ktk hali yake ya kawaida. Bibi uyo alipoona ivyo ndipo akamwambia mjukuu wangu sasa unaweza kwenda na macho yako ndio kings yako kuanzia Leo. Ikiwa litakutokea jambo lolote like baya bas kupitia macho yako utaweza kujiokoa. Colin alishindwa kuelewa bib yule wapi alipotokea mana anachokumbuka baada ya kuokoka na nyoka aliamua kupanda mti iliaweze akalalie uko,baada ya hapo hakukumbuka lolote na kujikuta yupo na bibi kizee asiyemfaham wapi alipotokea? Ndipo Colin alipotaka tu kumuuliza bib uyo Kwan yeye ni nani? Ndipo yule bib akamwambia aende pasipo kumuuliza swali. Basi Colin akaanza kuondoka uku akiwa na mawazo mengi juu ya yule bibi? Wakati Colin anaondoka,mara kwa mbele yake akamuona binti aliyevaa nguo za shule anakimbia? Colin akajalibu kumfatilia ile anamuangalia vizuri akagundua ni angel,aliekua mpenzi wake. Basi Colin alifurahi kumuona mpenzi wake huyo na hatimaye kuanza kumwita kwa nguvuAngel,angel,angle simama mimi Colin? Unaambiwa japokuwa Colin alikuwa anamuita angel kwa nguvu lakini angel akumsikia hats kidogo kutokana na msongo wa mawazo aliokua nao kichwani mwake. Mana angel aliwaza sana kwanin wazazi wake go bandia kwanin waliamua kumuiba hospitalin? Pili anajifikilia ni kwanin alifanya mapenzi na kaka ake wa damu? Tatu kwanin Baba ake mzazi kafa pasipo kuonana nae? Hayo ni bahadhi ya maswali yaliyomchanganya ktk kichwa chair na kujikuta wala aisiki sauti ya Colin iliyokua inamuita? Unaambiwa Colin alizidi kumuita kwa nguvu angel, lakin wapi angel akuitika mpaka akawa anaishia vichochoroni. Ole Colin kuona vile hakukata tamaa alizidi kumkimbilia angel hadi atimaye akafika karma njia yenye utata. Mana njia Ito ilikua ianaenda mwishoni ikawa imegawanyika sehemu kuu tatu,yani Kuna kushoto,kulia na hatimaye katikati. Ndipo Colin alifika ktk iyo njia na kuchanganyikiwa ajui apite upande upi iliaweze kumfata angel. Colin kwa baati nzuri aliamua kupita upande wa kushoto aliopita angel. Basi akaanza kuifuata njia iyo, mara kwa mbele yake aliliona daraja lefu sana lililokua limeharibika sana,uku chin yake Kuna mto mkubwa wa mamba wakali. Basi ile Colin alipolifikia like daraja mara akashangaa kumuona mpenzi wake angel Kanasa ktk lile daraja uku kichwa chini miguu juu. Kuona vile Colin alistuka sana na alikua hayupo tayari kuona angel wake anakufa mbele yake,ivyo akaamua kivyovyote lazima amuokoe mpenzi wake huyo. Wakati Colin akija kwa Kasi kuja kumuokoa angel, uku angel alikua anapiga makele ya kuomba msahada mana alijua tu ile kamba ya kiatu chake ikikatika tu lazima tu adondokee ktk ule mto wa mamba na hatimaye aliwe. Angel alizidi kuita tu NISAIDIENI UKU? NAKUFA JAMANIII? NISAIDIENI? Wakati angel anamalizia kuomba msaada wa kukolewa ndipo Colin akawa amefika eneo lile. Unaambiwa Colin ile anataka tu kumkamata angel ule mguu wake akajikuta anamkosa na ile kama kuachia na hatimaaye angel akawa anaporomoka hadi chini uku akiita kwa uchungu COLINIIIIIIIIIIIIIIIIIII! COLINIIIIIIIIIIIIIIIII,NAKUFAAAAAAAAAAA,NISAIDIEEE? Colin ile kuona vile angel anadondoka akajikuta analia kwa uchungu sana uku akisemaNO,NO,NOOOOOOOOO ANGEL? HAUWEZI KUFA ANGEL? Hatimaye Colin naye akajikuta anajitupa ktk ule mto wa mamba wakaliCHUBWIIIIIIIIIIII Baada ya kujitupa mara akashangaa kuona macho yake yamebadilika na Kisha yalipowaangalia wake mamba tu wake mamba wakajikuta wanawaacha kuwala mana walijua kama ni mamba wenzao. Colin alianza kuogelea kumtafuta angel ndani ya yale maji bask ile anampata tu angel....? Itaendelea kesho saa tatu usiku. Gonga like na coment kama umeipenda
Posted on: Sun, 10 Nov 2013 09:49:38 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015