Uganda hii leo imeadhimisha miaka hamsini na moja ya uhuru. Kauli - TopicsExpress



          

Uganda hii leo imeadhimisha miaka hamsini na moja ya uhuru. Kauli mbiu ya sherehe za leo ikiwa " Kuupa msukumo uwezo wa maendeleo ya Uganda." Miongoni mwa waliohudhuria sherehe hizo ni Rais wa Msumbiji Armando Guebuza ambaye alimpongeza rais wa Uganda Yoweri Museveni kwa kudumisha usalama nchini humo. Je, Sherehe za uhuru Uganda zitatoa fursa kwa Rais Yoweri Museveni na hasimu wake Kizza Besigye kufanya suluhu?
Posted on: Wed, 09 Oct 2013 15:11:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015