Ujinga. 1) Kusema umesota na una mashilingi kwa kichwa 2) Kuenda - TopicsExpress



          

Ujinga. 1) Kusema umesota na una mashilingi kwa kichwa 2) Kuenda thika road na mkate ati una ngoja jam 3) Kudhani mtoto wa nga-mia ni nga-fifty 4) Ku-tune radio ukitafuta Police Station 5) Kutoroka mbio ju fan wa Gor ameitisha stoney kwa bar 6) Kudhani NKT inamansha NAKUMATT Wanaume wa Nyeri kuogopa The Beat 9) Kueka picha ya doc kwa room ndio maumivu yakizidi uone daktari 10)kuto-realize nimeruka number 7,
Posted on: Sat, 27 Jul 2013 20:16:45 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015