Ujinga ni... 1.dem kuvaa pencil na rubbers na hapendi - TopicsExpress



          

Ujinga ni... 1.dem kuvaa pencil na rubbers na hapendi masomo. 2.mafans wa arsenal kuoga na soap ya ushindi. 3.watu wa wrestling kupigania belt na wamevaa ngotha.4.mende kuhama kwa jirani kwenda kwa nyumba ya kidum. 5.kununua kamba ama poison ukajinyonge alafu unaitisha shopkeeper change. 6.kudai hautumiangi vitu vya china na unapitia thika road. 7.kukatia dame na mko kwa line ya V.C.T. 8.kutukana usain bolt alafu unakimbia. 9.kulala njaa na demu wako ameiva.
Posted on: Mon, 29 Jul 2013 19:45:01 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015