Ukiona!!! Ukiona mtoto unamtuma dukani halafu harudishi chenji ujue ukubwani atakua mhudumu wa baa ni jambo jema mtie moyo. Ukiona mtoto anapiga wenzake ujue atakua Mike tyson ama Congestina Achieng wa baadaye ni jambo jema mtie moyo. Ukiona mtoto unampeleka shule za gharama lakini kichwani bado mbulula ujue ukubwani atakua mchezaji wa Harambe Stars ni jambo jema mtie moyo. Ukiona mtoto anakua muongo, mwizi wa mboga jua ukubwani atakua mfuasi wa wezi wa kura usimtie moyo piga sana charaza viboko! Endelea kama umeipenda... Ukiona....
Posted on: Thu, 24 Oct 2013 17:48:31 +0000