Ukiwa duniani usihuzunike, na usiwe mnyonge hata kama unashida - TopicsExpress



          

Ukiwa duniani usihuzunike, na usiwe mnyonge hata kama unashida kiasi gani, Mungu yuko pamoja nawe, na unatakiwa kuzingatia haya: 1- Usijilaumu kwa lolote lililokutokea. 2-Usihofu kuhusu hali uliyonayo kwa sasa. 3-Usijilinganishe na mtu yoyote duniani. 4-Usifikirie sana Yaliyopita Katika Maisha Yako. 5-kumbuka Mungu Ndie Mpangaji Wa Kila Linalotokea Kwa Watu Wake. 6-usiwaze Sana Kuhusu Kesho Waza Kuhusu Leo. 7-kukikosa Ulichokikusudia Yote Ni Mipango Ya Mungu. 8-sio Kila Unaloliona Duniani Ni Vema Kulifanya. Nakutakia Kheri Na Baraka Katika Maisha Yako. Amina.
Posted on: Fri, 19 Jul 2013 21:44:09 +0000

Trending Topics



nce Deal on Safavieh Handmade Wyndham Natural New Zealand

Recently Viewed Topics




© 2015