Ukiwa mpenzi wa MESSI utamchukia RONALDO...lakini kwa mpira wa - TopicsExpress



          

Ukiwa mpenzi wa MESSI utamchukia RONALDO...lakini kwa mpira wa sasa ukimchukia RONALDO (CR7) ni kama unamfukuza DOKTA wakati unaumwa..... Huku chelsea wanatoa DRAW ya 2:2 na west brom Kule Liverpoor anampiga mtu 4....kule ZLATAN anapiga Hatrick huku napo CR7 anapiga hatrick...kwetu twamsajili KaSEJA wale wamfukuza KIBADENI...ahhh ahhh ukiupenda mpira ni kama kumpenda mpenzi wako wakati wote kwa maana ukimtendea baya..ujue hautojisikia RAHA Ebu nilale niwait MAN UTD VS ARSENAL...pale OLD TRAFFORD.... USIKU MWEMA....
Posted on: Sat, 09 Nov 2013 19:21:24 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015