Ule utatu wa Rwanda, Uganda na Kenya pia unatokans na 1. Uganda na - TopicsExpress



          

Ule utatu wa Rwanda, Uganda na Kenya pia unatokans na 1. Uganda na Rwanda kuona kuwa Tanzania inavuruga mipamgo yao kule DRC kwa kuivurumisha M23. Kenya wao ni biashara they can do business even with the devil. Pesa tu. 2. Wana uhaba mkubwa ws ardhi na waliona mkombozi ni ardhi ya Tz. Ndo maana WAKENYA WENGI wanapenda kuoa Tz naara tu hutafuta mashamba na baada ya muda anamuacha au wengine wamuua mkewe. Wskimbizi wa Rwanda wakishingia Tz hawataki kurudi tena kwao kisa ardhi. Tulipogoma wamekasirika eti. 3. Uchumi wa Tz unakujs juu haraka na ni tishio bkwa ule wa Kenya. Wao tsngu enzi za mkoloni vhawakubali Tz iwe juu. Jibu tufsanyejw??
Posted on: Tue, 05 Nov 2013 03:32:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015