Unakumbuka mateso gani ulipokuwa secondary? mie sitasahau siku - TopicsExpress



          

Unakumbuka mateso gani ulipokuwa secondary? mie sitasahau siku walimu walipo tukusanya darasa moja watoto wa kike na wa kiume chumba chao alafu ikawa mnaitwa kadhaa mnaingia ofisini na ukifika unavua nguo zote unabaki na nguo za ndani na kama umevaa nguo za rangi tofauti ndani unapigwa sana wanaita mseto na zinatolewa unabaki kama ulivyozaliwa tena ukiwa na wenzio! ile siku iliniumiza na sitakaa niisahau katika maisha yangu coz tulifanywa kama wanyama!
Posted on: Fri, 01 Nov 2013 11:14:01 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015