Utakuta mtu analalamika nchi mbaya, akiondoka harud,mwingine yuko - TopicsExpress



          

Utakuta mtu analalamika nchi mbaya, akiondoka harud,mwingine yuko nje anasema harud. Kama unaona nchi mbaya basi ujue watu waliifanya kuwa nzur mwanzo zamu yako kuiboresha. Or Ipake rangi basi iwe nzur. Viongoz wasikufanye ukaichukia nchi, watakufa wataiacha.Unapong’ang’ania kuondoka unadhan ndo itakuwa nzur? Na huko unakotaka kwenda? Usione vinaelea vimeundwa.ukiondoka kizaz chako umekiacha TZ kitaendelea kupata matatizo uliyoyakimbia. Utakuta mtu anajifanya anadharau mpira wa bongo eti kwa sabab anangalia Manchester. Isingekua maamuzi ya waTZ kuruhusu utandawazi ndo zikaletwa TV Liverpool ungeionea wap ww? Jiulize umeifanyia nn nchi toka uzaliwe mpaka leo unalaum nchi badala ya watu. Elim unayotambia umesomeshwa under government scholarship/loan board na mpaka leo unadaiwa. Mbona ulipokua mdogo nyumban kwenu kulikua na matatizo hukuondoka au kwa sabab leo unafanya kazi/una scholarship.Kijana acha kuwa na akili fupi kama khoikhoi wa kongo na mbilikimo wa Kalahari. WW ni walking corpse (maiti inayotembea) hujitambui. Endelea na ujinga wako wazungu wanakwambia “it begins with you”. Wenzio wanasifia nchi zao we unaponda nchi yako, umekuwa kilema wa akili mpaka unataman ungezaliwa paka wa marekani kuliko kuwa raia wa TZ. Wenzio tumegundua njia ni kuendelea kuipenda nchi na kuwa sehem ya mabadiliko,au unazania kuleta mabadiliko mpaka uwe rais, au mbunge! Tutaendelea kuisifia our beautiful TZ kwenye tanzanite hakuna mahala pengine dunian.watu wa mataifa wazee kwa vijana wakubwa kwa wadogo wanaweka nadhiri ya maisha yao kabla kufa lazima waje TZ kuona mount K/Njaro na kuwaona watu wakarimu TZ. IF U THINK EDUCATION IS EXPENSIVE TRY IGNORANCE.Tchao
Posted on: Thu, 20 Jun 2013 02:15:07 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015