VIDEO YA MOTO UNAOWAKA CHINI YA ARDHI YEMEN. Video inayonyesha - TopicsExpress



          

VIDEO YA MOTO UNAOWAKA CHINI YA ARDHI YEMEN. Video inayonyesha Moto unaowaka chini ya Ardhi, moto mkubwa umezuka nchini Yemen katika Mkoa wa Al-Hadidatu kwenye eneo linalojulika kwa jina la Al-Salam, Jambo ambalo limeibua khofu kubwa kwa wakaazi wa eneo hilo kwa kushindwa kufahamu chanzo cha moto huo kitalaamu. Cha kushangaza zaidi moto huo unawaka chini ya ardhi hakuna kitu kinachofanya Moto huo uwake, kama ilivyozoeleka kuwa moto unawaka panapokua kuna kitu, lakini eneo hilo hakuna kitu kinachofanya moto huo uwake. Angalia Video kupiti Blog yetu ya Markazi kwa kufata link hapo chini markazitz.blogspot/2013/06/video-moto-unawaka-chini-ya-ardhi-yemen.html#links
Posted on: Tue, 11 Jun 2013 08:14:15 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015