VITU HUBOO 1. Unajitolea Kutext msee maneno poa poa kama maziwa ya - TopicsExpress



          

VITU HUBOO 1. Unajitolea Kutext msee maneno poa poa kama maziwa ya kiambu then anakujibu "K"..... Madem mna hii tabia. Ikome 2. Msee kukuflash. ukical anakusho "nilikuwa nataka kukusalmia tu"..... si basi angecal.. 3. Msee kusema atakutumia punch na mpesa akulipe deni lako la punch....na anafuma EXACTLY 500 bob....kwani itatllewa na hewa?? 4. Msee kukuflash na unknown/ private number. Alisikia wewe ni Karamanzira? 5, Msee kukucal na kupay attention kwa background instead ya kukusikiza....a ti.." kwani uko choo? naskia ni kama unaflash".... hata kama nanya shida yako iko?? 6. Msee kukuomba phone aflash beshte wake....na anaanza kusorora texts zako... au kuiba namba za warembo.. nkt.. 7. Msee kuchukua phone na anakopa credo na phone yako ndo acal au anajisambazia credo 8. Mtu mzima wa Campo kuandika ndani ya choo....... na hatumii pen ofcos
Posted on: Tue, 25 Jun 2013 20:36:42 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015