Via Proudly from nax Ukiangalia dame utajua hood ametoka: • - TopicsExpress



          

Via Proudly from nax Ukiangalia dame utajua hood ametoka: • Kama amebeba handbag kubwa excess, na weave hata haitoshei kwa kichwa huyo ni wa Lanet au Kiamunyi • Kama amevaa pencil low waist na boots/supra na jua imewaka ile mbaya huyo ni wa Free area au Kiti • Kama anacat walk, make up iko sawa earings zinamatch handbag na ananukia huyo ni wa Milimani au Racecourse • Kama amevaa dress top ya yellow, trouser ya black, shambala kama 50 kwa mkono, lipstick ameapply hadi kwa cheeks na condom shoes za grey lazima akuwe wa Mwariki. • Heels, Mini skirt, na amebeba tablet definitely huyo ni wa 58/Naka • Kama amenyoa nywele, amevaa earings kubwa za round, ako na earphones na sunglasses 24/7 huyo ni wa freehold au Pangani • Kama amebeba purse, long hair lakini si weave, hayuko shy na amevaa nguo fitting (si baggy) huyo ni wa Langa/ Shabe
Posted on: Mon, 12 Aug 2013 07:48:18 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015