Vitu vingi kutoka china huleta athari kwa Watanzania why?????? - TopicsExpress



          

Vitu vingi kutoka china huleta athari kwa Watanzania why?????? Mfano. Wataalamu wa JWTZ waliliambia taifa kuwa bomu lilirolipuliwa kwenye Mkutano wa CDM Soweto Arusha lilitengenezwa China.Hiyo hitoshi Rasilimali zetu zinakombwa tu kupitia Mikataba 17 tusiyoijua ambayo Rais wa China aliiisaini Ikulu ya Tz.Simu feki na bidhaa nyingine nyingi zinaingizwa kutoka China.Kali ya Mwaka na ya Kuvunja Mikataba ya Kimataifa ni Hii ya Balozi wa China Kuvalia sare za CCM na kusimama jukwaani na kuhutubia wafuasi wa CCM. Hakika Napongeza chama kupitia Katibu Mkuu Dr.Slaa aliyelaani kitendo hicho. Pia nipongeze hatua sahihi zilizochukuliwa na chama kumshitaki balozi huyu ktk Serikali ya China, serikali ya Tanzania pamoja na kutuma Nakala Umoja wa Mataifa.Big up Kamanda E.Wenje. Pamoja na hayo Nampongeza sana Waziri wa Mambo ya Njee Bernad Membe na yeye kwa Kulaani kitendo hicho kuwa kimevunja Mkataba wa Vienna wa 1961 Ibara ya 41(1-3).juu ya Uhusiano na Kidiplomasia.Nape alitaka kupotosha Umma eti Balozi huyo yuko sahihi kwa kisingizio tu eti chama tawala china ni rafiki na ccm.Lakini wapo waliokebehi eti Kwa nini CDM tumekimbilia UN kwa kosa la Balozi wa China huku Shibuda aliyesimama jukwaani kwenye Mkutano wa CCM????? Hakika Mtu huyo anayelinganisha Shibuda na Balozi wa China hatofautiani na anayelinganisha Nyama na Bamia.Ushauri wangu kwa Serikali Kinana pamoja na Nape wachukuliwe hatua Mara moja kwa kuruhusu mkataba wa vienna kuvunjwa na balozi.CCM bwana inaonesha wazi kuwa sasa hivi mmeshindwa kabisa kusimama jukwaani mpaka mnatumia mchinaaaaaaa??????????? Shame to u MAGAMBAZ.
Posted on: Wed, 18 Sep 2013 21:36:35 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015