WALUHYA **HII SASA KARE**(UKIGONGWA JUU YAKO) WALUHYA LAZMA - TopicsExpress



          

WALUHYA **HII SASA KARE**(UKIGONGWA JUU YAKO) WALUHYA LAZMA TUWAINGILIE, SI MNAJIITA WAKENYA.UTAJUAJE NI MLUHYA 1.Ukiona dame akipita karibu na wewe na macho kuna vitu nyeupe, hata usiulize, anatoka chikhoni khupikhako ukali. Ni wa shemakhokho 2. Ukiona chali anapita karibu na posho mill alafu anaanza kusmile, usiulize ni nini mbaya, ameskia harufu ya unga 3.ukiona jamaa kwa hoteli akiitisha ugali then anakunja sura ikifika, jua 2 ni wa punkoma, kama hachaonakho khamulima pato hachashipa 4.ukiona jamaa anavaa tshirt ya KANU, usifikiri ni MOI DAMU, hapana, ni logo ya Jogoo inafanya anavaa.thats y mluhya anaprefaa kula ugali na logo ya kanu 5. Ukiona jamaa amenyonga tie mpaka veins inatoka kwa uso na mapua kusweat, jua ni mluhya, anakaza tie coz colar ya shati haijui harufu ya maji 6. Ukiona dame ameingia hoteli na anakula Ugali moto ya 100/= na Chai moto ya 20/=, hehe tena saa saba January, jua huyu kwao ni chavakali, hehe akitoka kwa hoteli amesweat utashangaa anatoka kupika ama kula? Hehehe waluhya khanti tunawapentakho sana coz mko taown 2 sana kama makhucha ya chokoo. JUST FOR FUN
Posted on: Fri, 21 Jun 2013 07:52:48 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015