WANAWAKE TUNAAMBIWA MWALIMU WETU NI KIPOFU, NA MIMI NASEMA WANAUME - TopicsExpress



          

WANAWAKE TUNAAMBIWA MWALIMU WETU NI KIPOFU, NA MIMI NASEMA WANAUME MWALIMU WAO NI KIZIWI, WANAWAKE TUNAAMBIWA AKILI ZETU NI KAMA KUKU KWAMBA UTAMFUKUZA HAPO LAKINI ATARUDI TENA HAPO HAPO, NA MIMI NASEMA WANAUME AKILI ZAO NI KAMA KISU UPANDE UNAFANYA KAZI NA UPANDE HAUFANYI KAZI, WANAWAKE TUNAAMBIWA AKILI ZETU NI NDOGO HAZIONI MBALI, NA MIMI NASEMA WANAUME AKILI ZAO NI NYIIIIINGI LAKINI HAZINA KAZI YOYOTE!! ZIPO ZIPO TU, YANI AKILI ZAO HAZINA AKILI, HAYA SASA HAKUNA WAKUMCHEKA MWENZAKE HAPO. SAWAAAAAAAA?
Posted on: Wed, 16 Oct 2013 11:47:35 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015