WIMBI LA MAJAMBAZI WATEKAO MAGARI YA ABILIA TOA MAONI JINA NA - TopicsExpress



          

WIMBI LA MAJAMBAZI WATEKAO MAGARI YA ABILIA TOA MAONI JINA NA MAHALI WIMBI LA UJAMBZI limezidi kuongezeka mkoani Tabora baada ya vitendo vya utekaji magari na kuwakata watu wanne abiria mapanga kuendelea katika manispaa ya Tabora. Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya rufaa kitete ya mkoa wa Tabora baada ya kutekwa na majambazi katika Basi la Ally Sudeni lenyemba za usajili T251 AER ambalo hufanya safari zake kutoka Wilayani Nzega kwenda Mjini Tabora. Kufwatia tukio hilo kutokea usiku wa saa 4 kuamkia leo juzi magari mawili yalitekwa na abiria kushambuliwa kwa mapamga mwilini na kuporwa mali zao. Mbunge wa jimbo la Tabora Mhe. Aden Ragge alipofika hospitalini hapa kuwajuria hali majeruhi amemuomba waziri wa mambo ya ndani kutafuta kiini cha hali ili hali ya usalama iimarike. Naye mganga mfawidhi wa hospitali ya rufaa ya kitete mkoani Tabora Dr. Kitapondya DeuS, amesema hali ya majeruhi sinzuri hasa Ngelela John ambaye alikatwa mpanga katika paji la uso huku akivitaka vyombo vya usalama kutimiza wajibu wake. Ni katika wod naomba moja baadhi ya abiria waliojeruhiwa vibaya wanabainisha yaliyojiri. Katika tukio la kushangaza na jinsi kasi ya ujambazi inavyoongezeka na kutia hofu wananchi kamanda wa polisi mkoa wa Tabora.Peter Ouma amesema mpaka sasa wanawashikilia watuhumiwa wane wa tukio hilo.
Posted on: Fri, 13 Sep 2013 16:29:35 +0000

Trending Topics



body" style="min-height:30px;">
LAST CHANCE 50% OFF!! Your Image On Canvas A4 12" x 8" = £8.75

Recently Viewed Topics




© 2015