Waalimu wote wa secondari waliosimamia mitihani ya kidato cha pili - TopicsExpress



          

Waalimu wote wa secondari waliosimamia mitihani ya kidato cha pili wamejipanga kuandamana Kesho kuelekea manispaa kwa DED kudai Malipo yao ya kusimamia mitihani. Pamoja na kufanya kazi bila Malipo lakini hata Malipo yalipoanza kutolewa Leo, DED amekata kila mwalimu elfu kumi na elfu ishirini ya Malipo ya semina bila maelezo yeyote. ILA TAARIFA ZA UHAKIKA NI KUWA KARIBU NCHI NZIMA WALIMU HAWAJALIPWA MALIPO YAO YA KUSIMAMIA MITIHANI YA KIDATO CHA PILI. MWALIMU BADO NI MTUMWA NA MDHARAULIWA,HUKU TUNATAKA BIG RESULT NOW.
Posted on: Mon, 21 Oct 2013 18:12:36 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015