Wadau naombeni Ushauri wenu Me ni msichana wa miaka 19 naishi - TopicsExpress



          

Wadau naombeni Ushauri wenu Me ni msichana wa miaka 19 naishi Mwanza, nimekuwa na tatizo la kutokuelewa darasani hadi nashindwa kujielewa, kiukweli napenda sana kusoma lakini kila nifanyapo mtihani wowote nakuwa mtu wa MWISHO, nimesoma masomo ya ziada lakini kila mtihan ujapo me ni wakufelitu, hapa nipo form 4 ila nimefika kwa kupitisha pesa mpaka nimefika hapa... Nisaidieni ndugu zangu nifanyaje niondokane na hii hali, najituma kusoma mpaka huwa nakesha ila mimi ni wakufeli tu.. Usisaha ku like page yetu Kurasa255 kama upo over 18
Posted on: Sat, 26 Oct 2013 18:05:49 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015