Wafuatao ndiyo wachezaji 23 wanaowania tuzo maarufu, Ballon dOr - TopicsExpress



          

Wafuatao ndiyo wachezaji 23 wanaowania tuzo maarufu, Ballon dOr itakayotolewa Januari mwakani. Tuzo hiyo hutolewa na France Football kwa kushirikiana na FIFA. Binafsi, nimeshangazwa na kukosekana kwa jina la Luis Suarez. Pamoja na matatizo yake, hakuna mtu asiyeufahamu mchango wake katika kabumbu. Hakuna asiyeukumbuka umahiri wake katika ufungaji kwa msimu uliopita. Gareth Bale, Wales, Real Madrid Karim Benzema, France, Real Madrid Diego Costa, Spain, Chelsea Thibaut Courtois, Belgium, Chelsea Angel Di Maria, Argentina, Manchester United Mario Gotze, Germany, Bayern Munich Eden Hazard, Belgium, Chelsea Zlatan Ibrahimovic, Sweden, Paris Saint-Germain Andres Iniesta, Spain, Barcelona Toni Kroos, Germany, Real Madrid Philipp Lahm, Germany, Bayern Munich Javier Mascherano, Argentina, Barcelona Lionel Messi, Argentina, Barcelona Thomas Muller, Germany, Bayern Munich Manuel Neuer, Germany, Bayern Munich Neymar, Brazil, Barcelona Paul Pogba, France, Juventus Sergio Ramos, Spain, Real Madrid Arjen Robben, Netherlands, Bayern Munich James Rodriguez, Colombia, Real Madrid Cristiano Ronaldo, Portugal, Real Madrid Bastian Schweinsteiger, Germany, Bayern Munich Yaya Toure, Ivory Coast, Manchester City
Posted on: Tue, 28 Oct 2014 03:45:49 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015