Wah! Kukatia dem Mluhya si ni stress! Me: Niaje Msupa! Dem: Poa - TopicsExpress



          

Wah! Kukatia dem Mluhya si ni stress! Me: Niaje Msupa! Dem: Poa poss. Una shita kani? Me: Maze ningependa kubonga na wewe kiasi! Dem: Onatakeko kuniambiako nini? Mimi nina stress mingi sana vane! Usiniongesee singine wewe! Me: Just one minute. Nitakusaidia kusolve stress: Dem: Ati nini... Stress yangu ni unga. Hepu enda pungeni uambieko wapunge wapunguse pei ya unga.. utanipata hapa tuongee Me: Cheki nina gari... Dem: Hata Wanyonyi alinitongosa na sikukupali.... na yee ana paiskeli... wacha hiyo kari yako lasima ukuweko na mafuta ndo iende Me: Basi kama una haraka nipe namba zako za simu nitakupigia... Dem: Sina simu. ukitaka unitumieko salamu kwa ratio.. machina ni Chosphine Nekesa khaemba wa Khwisero mtoni karipu na kwa chief Chustus Wepukhulu mtoto wa msee Simanyula wa Kapuyefwe uko Pungoma mpakani kwa...... Me: Sawa mrembo... nina mtambo wa kusaga unga.... nataka.... Dem: (akiinua nguo) Wa! wa! waa! Mamawee.. wewe ni mtosi hifio... una tinga ya kusiaka... Nioe. hata siruti nyumbani #tweetz
Posted on: Wed, 03 Jul 2013 09:56:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015