Wakati naishi mwanza nilipata bahati ya kupendwa na mkwe wa mtu - TopicsExpress



          

Wakati naishi mwanza nilipata bahati ya kupendwa na mkwe wa mtu kutokana na u-smart wangu, alinipenda sana hadi kufikia hatua ya kutaka kumroga mume wake ili apate kuwa na mm, alikuwa ananipa hela na ht ikafikia hatua ya kuwa ananipikia chakula na hataki nipike. Wakati nipo kwenye mchakato wa kutoka mwanza, niliibiwa pesa zote, thn kwa huruma yake akanipa pesa thn nikaendelea na michakato yangu, nilipofanikisha nikamuga nikaja zangu arusha nikamuacha na mume wake, before tht alijua kabisa sitaweza kuwa na yy maana tayari ana watoto watatu.! So tangu nije arusha maisha kwake yame-change bwana ake kazi haieleweki na yy ni mama wa nyumbani, maisha yameyumba sana.! Simu haziishi kwangu, ananipigia hadi usiku sana, anataka nimsaidie familia yake, kibaya zaidi anataka kufunga safari aje arusha na ananitishia kuniroga kama nisipomsaidia..! Nifanyeje wadau, ebu nisaidieni
Posted on: Mon, 07 Oct 2013 09:19:58 +0000

Trending Topics



o de chegar
~~~~~~~~~~~BY FELICIA WOODARD~~~~~~~~~~~~~~~~~ ***GOD IS ANGRY AT

Recently Viewed Topics




© 2015