Wakati nilipokuwa MDOGO niliwahi kumuuliza MAMA kwanini huwa - TopicsExpress



          

Wakati nilipokuwa MDOGO niliwahi kumuuliza MAMA kwanini huwa analia kila mara...? Mama akanijibu kwa sababu yeye ni MWANAMKE Kiukweli sikumwelewa ikanibidi nimwambie mbona sikuelewi? ...akanijbu ....Huwezi nielewa mwanangu huku akinikumbatia na kisha uendelea kulia..... Nikamuuliza BABA kwa nini MAMA huwa analia?..... Baba akanijibu........ wanawake hulia bila sababu SASA NIMEKUA NA NIMEGUNDUA KUWA kuwa mwanamke ameumbwa tofauti Sana ..... **Ameumbiwa mabega imara kubeba uzito wa dunia nzima, upole wa kufariji. **Ameumbiwa uimara kuvumilia maumivu ya kujifungua na ukaidi utokao kwa watoto wake mara nyingi **Ameumbiwa uvumilivu wakuto kata tamaa mazingira ambayo wengi hukata tamaa, nakuilea familia yake kwa kwa mvua na jua bila ya kulalamika **Ameumbiwa upendo kwa watoto wake kwa Kila hali hata kama watoto wake wa muumize vipi **Ameumbiwa unyenyekevu wa hali ya juu kwa mmewe licha ya makosa ya mmewe. na husimama imara kwa mmewe ==**NAHATIMAE KAUMBIWA MACHOZI ANGALAU KUMPOZA NA MZIGO WOTE HUO JUU. NDOMANA MIMI LEO NAAMINI UZURI WA MWANAMKE HAUPO KWENYE NGUO AVAAZO , UMBO ALILO BEBA ..AU NYWELE AU SURA BALI UZURI WA MWANAMKE LAZIMA UONEKANE MACHONI MWAKE ...KWA SABABU NDO MLANGO PEKEE WA MOYO WAKE AMBAPO NDIPO MAPENZI HUISHI coment neno nakupenda mama then usisahau KULIKE HII PAGE kwa Story kama hizo Huu ujinga sifanyi tena Huu ujinga sifanyi tena Huu ujinga sifanyi tena
Posted on: Sun, 03 Nov 2013 15:56:06 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015