Wakati ule wa Nuhu, wa2 walimwasi bwana,walitenda kila ndambi - TopicsExpress



          

Wakati ule wa Nuhu, wa2 walimwasi bwana,walitenda kila ndambi wakamsahau muumba, walimchukiza muumba wao kwa dhambi zao mingi, mungu aliamua kuua kila ki2 chote, Mungu kwa mwambia Nuhu kwamba, ajenge safina yenye nyumba aifunike ndani na inje, urefu wake mikono 30, kwend juu kwake mikono 50, upana wake mikono 80, nae Nuhu aliijenga safina alipomaliza kambiwa ingia wewe na mkeo na watoto wako pia wakezo nao waingie, mvua ilianza kunyesha bila kukatika, maji yaliendelea kuongezeka, kutoka kisiginoni kwemda magotini,?????????? Nani ajua wimbo hu?
Posted on: Sat, 13 Jul 2013 08:51:52 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015