Wakuu habari. Nina dell optiplex gx520 haiwaki baada yakukaa kwa mda bila kutumika nimeinunulia RAM mpya ya 1gb. Steel hakuna mafanikio kwenye power button inawaka rangi ya machungwa alafu ukibonyeza inakua ya rangi ya kijani siskii fan ikizunguka no beep sound no display na monitor iko poa kabsa ( my dell optiplex gx520 do not power on after not being used for Some days, i bought a new 1gb RAM but the problem is steel there. when i plug in power cable on the power button it shows orange light and after pressing the power button light changes to green no display, no beep sound even fan is not running) Help plz. ™THANKS I N A D V A N C E !!.
Posted on: Fri, 23 Jan 2015 19:37:17 +0000