Walikutana madoctor wa China,Ujerumani na Kenya - TopicsExpress



          

Walikutana madoctor wa China,Ujerumani na Kenya kuelezea mafanikio walioyafikia ktk nchi zao... Dr wa Ujerumani akasema"Kwetu alizaliwa Mtoto hana miguu 2kamwekea ya bandia sasa ni mwanariadha na ana medal 3 za dhahabu". Dr wa China akasema," cc kwe2 alizaliwa mtoto hana mikono 2kamwekea ya bandia na sasa ni Bondia maarufu sana Duniani". Dr wa kenya akacheka saana kwa dharau akasema"hamjatu fikia cc,kwe2 alizaliwa MTOTO hana kichwa,2kamweke a BOGA,na ndo huyu anaesoma POST hii.....
Posted on: Mon, 09 Sep 2013 11:31:35 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015