Wana Chatingi FB DAME: Niaje.. CHALI: Poa sana. DAME: I like your - TopicsExpress



          

Wana Chatingi FB DAME: Niaje.. CHALI: Poa sana. DAME: I like your profile, you status updates and everything about you...Naskia tu nimebambika na wewe... CHALI: Nikibamba sana wapi nduru? DAME: Yeeeeaaaah.....by the way, we hu stay wapi? CHALI: Mimi ni mtu tu simple, Na stay Westy....na wewe je? DAME: Wha, ati westy...wah naona ukinipeleka uko matembezi lol... CHALI: Hehe...we unastay wapi? DAME: Mimi Imagine na stay South B...no I mean South C CHALI: Lol...kwani ni shift tena,,, DAME: Ku-type vibaya nayo...si tujuane kabisa,,,saa unastei peke yako ama? CHALI: Apana, nina stayi na beshte yangu,,, DAME: hmmmm....keja nayo... CHALI: Usitake kujua venye mi hu survive na beshte yangu...izi slum za huku westy ni ngori, sio flying toilets, uizi na pia imagine mvua ikinyesha, mi huenda kulala kwa ma cuzo juu maji yu-ingia ndani ya keja hadi kwa matress,,,,so its all about survival...so you wana come??? DAME: (alienda offline) CHALI: Are you there??,,,,ndo hii numba yangu... Chali kuungalia hapati dame kwa fb....ali blokiwa..
Posted on: Sun, 11 Aug 2013 06:11:09 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015