Wanyama, ndege au wadudu wangekuwa na uwezo ya kujoin fb status - TopicsExpress



          

Wanyama, ndege au wadudu wangekuwa na uwezo ya kujoin fb status zao zingekuwanga aje?.. Kuku: kesho mkiona sijapost anything mjue nimechinjwa. Mbu: walai nimeget HIV virus baada ya kumumunya damu ya msee bila protection. Paka: my kid ananiuliza budake ni nani? Hata skumbuki Lol. Panya: walai tena hiyo mtego ingenishika, nilbakisha kidogo tu! Useles humans. Mende: i feel sooo good! Ustake jua niliiba kidoom nikakificha. Mbuzi: niaje wazito! Manze EID inakarabia... Huenda ntakulwa... So nauza shamba 10k.. Na mniombe coz now am a dead goat walking.. Dog inakomment kwa status ya Mbuzi: pereka uko, ati unauza shamba 10k, kufa wacha mali nugu! Fisi analike hyo status ya dogi then comment: kwi kwi kwi kwi... You are kiling me Dog! Hahahaha! Lmao Inzi: niaje washikaji wa mine? Ndio nimemada kueneza Cholera. Hippo: Lake victoria here i come! Crocodile: yawwwwwn, ka unajua wewe ni food c ujilete hapa river nile!, na ni tafathali...
Posted on: Mon, 24 Jun 2013 17:42:12 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015