Wanyama wa kenya wakichat fb Kuku ana update: Nitahamia wapi - TopicsExpress



          

Wanyama wa kenya wakichat fb Kuku ana update: Nitahamia wapi jamaneni.? *Paka,Mbwa,ngombe,nguruwe and 50k others likes this.* Ngombe: Usijali siz pia mimi nilizoea huko Kiambu, pia wewe utazoea. Mbwa: pwahaha nkt. Ngombe: Ulitoka mombasa ama bado. Mbwa: Huko nimejienjoy mpaka nimetosheka saa hii niko home. Paka: lol. Kuku: Sasa mnacheka nini? Paka: Unafikiria mimi ni mcheap kama wewe umewai skia msee amemess na mimi?? Mbwa: Unaongea ufala hapa na ulikuwa umeshindwa kutoka kwa mtungi?? *Paka goes OFFLINE* Kuku: Ondoeni ufala hapa.NKT!!ngombe am not a whore kama wewe hunisaidii nakublock saa hii. *Kuku anatoa post na anawablock wote.* Fredy Rashid-The Admin
Posted on: Tue, 23 Jul 2013 10:47:59 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015