Waoooo ooooo….it’s Friday …karibuni sana katika DOUBLE MIX - TopicsExpress



          

Waoooo ooooo….it’s Friday …karibuni sana katika DOUBLE MIX name wako Mwana wa Makonda…….tuna Mixing za Nguvu…..Kurasa…..YAPO ni kuhusu….Kasi ya kuwapiga wabunge yaongezeka….ambapo Mbunge wa KASULU MJINI,Mh Moses Machali avamiwa na kupigwa vibaya!!...pia katika RIPOTI…..baada ya kuzushiwa KUFA…Msanii Saidi Karoli anasemaje juu ya taarifa hizo……Nipe maoni yako hadi 15:30 Alasiri.
Posted on: Fri, 21 Jun 2013 11:01:18 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015