Wat is the most stupid thng ushaifanya in the name of luv? Mi tulikosana na ex flani juu ya rumour ati alikua lesbo.saa ya kukula moto,nkamtumia txt ka kumi za matusi na yee akanrushia matusi kadhaa.we xchanged insults mpaka saa sita usiku.nxt day nkasubscribe free sms nkamuamsha na matusi zote najua mpaka nkaishiwa,nkaanza kumrushia mchongoano na ujinga ni.leo mi hukumbuka nlifanya ivo najidharau sana.beta singejikosea heshima na kurushiana maneno na yy.silence is golden
Posted on: Sat, 03 Aug 2013 17:25:17 +0000