"Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Juni 28, mwaka huu alitangaza kuwa - TopicsExpress



          

"Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Juni 28, mwaka huu alitangaza kuwa tatizo la dawa za kulenya hivi sasa ni janga la kitaifa nchini. Alisema kumekuwa na wimbi kubwa la Watanzania wanaojiingiza katika biashara haramu ya dawa za kulevya ndani na nje ya nchi na kwamba, katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, watuhumiwa 10,799 walikamatwa kwa kujihusisha na dawa hizo. Pia alisema katika kipindi hicho, Watanzania 240 walikamatwa katika nchi za Brazil, Pakistan na Afrika Kusini, na hivyo kuharibu taswira ya nchi na kusababisha Watanzania wasio na hatia kupata usumbufu na masharti magumu wanapotaka kusafiri kwenda nchi mbalimbali duniani." NINI KIFANYIKE WAPENDWA? Seriously! I mean NINI TUFANYE? SISI NI SEHEMU YA TATIZO NA SEHEMU YA SULUHISHO
Posted on: Wed, 10 Jul 2013 11:38:13 +0000

Trending Topics



breath no more I will fight for
Llame al 309.721.1816 Gracias :) Details Year: 2011 .
But christians must understand that debating the religion,
LENTAMENTE MUORE Lentamente. lentamente muore chi diventa

Recently Viewed Topics




© 2015