>>Wewe mdada mtu akikuambia umependeza mshukuru sema axante tu - TopicsExpress



          

>>Wewe mdada mtu akikuambia umependeza mshukuru sema axante tu inatosha..... >>Utakuta mdada kapendeza unamwambia "dada umependeza" utaskia na uzuri unachangia au ndo kawaida yangu >>Alafu utakuta huyo anayekujibu na uzuri unachangia ana kichwa kama papai sura ya babu yake Au anayekujibu ndo kawaida yangu utakuta ndo siku ya kwanza unamuona anapendeza alafu yy anakwambia ndo kawaida yangu alafu utakuta nguo zenyewe kaazima Mi siwaelewi mjuee!!
Posted on: Mon, 01 Jul 2013 11:54:48 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015