Why Abdi is single phone rings Nafula:hi baby,si ungoje nikupigie - TopicsExpress



          

Why Abdi is single phone rings Nafula:hi baby,si ungoje nikupigie later plz? Abdi:kwani unado? Nafula:nakula na pia nawatch vampire diaries kwa lap top kwa room yangu Abdi:sawa,unakula nini? Nafula:chipo,kuku, samosa then nikunywe red wine kiasi.nimeshindwa na chapo imagyn! Mama wa Nafula speaks loudly in the background "Nafula usimalizie junior githeri haki.alafu hiyo suturungi msiiweke sukari ni ya uji ya mtoto kesho.ukimaliza uzime hiyo candle hakuna ingine" . . . Abdi:baby are u stil there? Phone hung up,afta 2 seconds switched off...
Posted on: Sat, 06 Jul 2013 16:36:40 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015