ZANZIBAR iltangazwa rasmi mwaka 1913 kuwa kolon la waingereza - TopicsExpress



          

ZANZIBAR iltangazwa rasmi mwaka 1913 kuwa kolon la waingereza kutoka utawala wa kisultan. Tangu wkt huo zanzibar ikawa ktk juhud za kupnga ukolon, na hatmaye kuleta uhuru wa kweli kwa wa2 wa Zanzibar. Baadhi ya vyama vya siasa vilvyoendesha harakat za kudai uhuru wa Zanzibar ni: African Association Viongoz wa mwanzo wa African Association, zanzibar walikuwa Agustino Ramadhani {mwenyekt} na Benjam Body {katibu}.
Posted on: Sat, 03 Aug 2013 10:39:07 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015