>>Zamani mimi nilikuaga nikiamka tu asubuhi na mapema naingia - TopicsExpress



          

>>Zamani mimi nilikuaga nikiamka tu asubuhi na mapema naingia zangu facebook,cha kwanza naanza kusearch majina yote yanayoitwa Sweety gal,queen elizabeth,malkia,prety gal na mengineyo yanayofanana na haya.Na nilikuaga naenjoy sana kwani kipindi kile haya majina ukikuta mtu anaitwa Sweety kweli sweety,au queen ujue queen kweli.Utakuta pics zake nzur sana,mtoto mrembo na anavutia kweli kweli na nilikuaga nashnda fb kwa ajili ya kuangalia warembo akina Sweety gal,queen n.k. >>Lakin siku hizi kila mwanamke anajiita sweety gal,queen elizabeth,na mengineyo kama hayo.Na ukiangalia anaejiita sweety gal mtoto hata haendan na hilo jina,unakuta mto mweusi kama mimi,sura ngumu kama yangu alafu anajiita Sweety gal,au prety gal.Basi unakuta siku hiz naboreka tu hasa pale naposearch pretty gal anatokea dem mbaya kama mimi.
Posted on: Thu, 03 Oct 2013 04:58:29 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015