adem huwa creature tofauto kivyao. Yaani wakiona boy huwa - TopicsExpress



          

adem huwa creature tofauto kivyao. Yaani wakiona boy huwa wameona ATM. Sikuambii kuokota kila kitu wanaona.... Yaani viokoti. Kama dem wangu. Hupenda kuokota kila kitu kinambamba. Akiona kitu poa unasikia. "Honey nibuyie hii woishe if u love me". By the way, hiyo ndo the only time huniita "honey".. sijui ka the other time me huwa mavi. Hata nikimsho c poa... ananitoanisha ati sijui swag! he! Sasa jana tulikuwa tao matembezi tu. Kusema kweli nilikuwa na punch tu. And the minimum amount yeye hunitoanisha ni 3K. So i had to find a way ya kujiokoa.... So kila time tukikaribia vitu poa, namconfuse tunadivert rout... ama namwambia" baby, tembea ka umeniangalia poa. What do u see in me? nitakuambia reason baadaye..." na tunapita. But tukipita show room ya mandai, tunasimama na kumsho aseme gani ameipenda.... "in future, utadrive hiyo baibe.".. kanabambika.. So ilifika time nilitaka kumsuprise. Nkamshoo" baibe, i want to suprise u". Si kalibambika. But nikamshoo under one condition, i must blindfold her ndo iwe indeed suprize. Coz of anxiety, akakubali. I took my hanky, kubwa ya maroon. Nikaikunja na kukaziba macho. Ikawa kama kipofu na kiongozi... Sisi haoo hadi Tom Mboya National archive. Nikakauliza... "baibe unajua place tuko?".... kakakimyaa kakasikia sauti ya kondah... emba 33! ati "baibe unanitake mr. price?" nikakasho" remember is a suprize"... Mkono hadi Ronald ngala... Kakasikia makanga wakiitana "Gethu 45! Gethurai 44" kakaona tunaingia supermarket au Best Lady. Nikakashika mkono poa. Kalikuwa kanasweat heart ikibeat Suprice! Suprise! kalikuwa confused.... nikakainua pole pole... wasee wakiniangalia ka chizi. Tukaingia.... Ngoma nayo! Immediately buu ikaondoka... nikakashoo... "Baibe tuko paradise... SUPRISSSSEE!.." Nikakafungua macho. Tulikuwa kariokoo. Ndani ya Paradiso... buu ya Githurai 45. Mandai za kwao .nikakasho.. " Baibe, just wanted to suprise u ndo usimaliziwe lunch home. It is almost lunch time!"
Posted on: Mon, 01 Jul 2013 10:11:01 +0000

Trending Topics



/div>

Recently Viewed Topics




© 2015