ah sina hela, ila siwazi biashara yakaranga ma alijua nitakuwa - TopicsExpress



          

ah sina hela, ila siwazi biashara yakaranga ma alijua nitakuwa sela, tangu niko mtoto mchanga akaniambia, nitatoka nikijipanga daddy pia alinihusia, nisioe demu wa kichaga nikamwambia maisha ya karata akaniambia nani anachanga ha nahisi napiga picha na yesu mara naota nahitajika sana kwetu njia safi ila naogopa kwenda peku nishakunywa maji ya baraka, huwezi nipa hukumu mi ni paka rapper ukinifwata, ha! nakupa pumu kila ninapopita, naona pagumu nimepigika afu sina majukumu oh ona, life sio easy bila speed lazima uteseke im so busy busy hadi nashindwa kuwa kicheche napenda rasta niichore nna rangi nyeusi chache napenda kuwa mlokole where thechurch at?
Posted on: Tue, 20 Aug 2013 08:10:17 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015