basi yule mganga maarufu wa comoro; akanena mama abdi kachukua - TopicsExpress



          

basi yule mganga maarufu wa comoro; akanena mama abdi kachukua sufuria kubwa iliyokuwa imetiwa maji kiasi. halafu akalichukua ilele jiwe jeupe lilongara na tumbukiza ktk lile sufuria iliyokuwa na maji aliposema hayo akavuta pumzi na kuinua shingo yake na kuonyesha kuwa zilikuwa pumzi mfululizo. pale tu alipolitumbukiza jiwe hilo aliloliita yusufu mama abdi akasema taratibu. ndipo ilipoonekana sura na umbo zima la kijana aliyefanana vizuri tena sana na marehemu mume wangu akamaliza kauli yake. halafu ikawaje ? bila kusita nikauliza basi yule bikini akasema ewe mtu wa mwambao hiyo ndiyo zawadi yako. huyo ndiye uwezo faida na kila jema kwa maisha yako yalobakia. mtunze kama yai usije kumwudhi na kila mnapokorofishana na kijana huyo lishike kiwe yusufu nalo litakupa jibu. basi sultan. nikamuhuliza kuwa huyo nimuonaye ni nani. naye akasema hivi ewe mama abdi enenda huko utokapo fanya safari za uhakika kama tatu kwenda hospital ya bombo na utakutana na kijana huyo aitwaye sultani.
Posted on: Thu, 07 Nov 2013 06:25:56 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015