fanya kulike na kusoma hii post plz Jumapili tukutane - TopicsExpress



          

fanya kulike na kusoma hii post plz Jumapili tukutane #coco_beach kuanzia saa saba mchana kwenye meeting ya wanafacebook yenye lengo la kusaidia watoto wenye kansa njoo tujadili ni jinsi gani tunaweza toa misaada kwa binadam wenzetu wanaoteseka. kwani hakuna anaependa kukosa raha kaitka maisha ila ni majaribu tu ya MUNGU ndio huleta changamoto katika maisha ya mwanadamu anaepumua bira ushuru. pia kama upo mkoani na ungependa kushiriki nasi katka njia moja au nyingine ingia kwenye group hii ==> MaiSha ya FaCeBook mPaka uRaiaNi au wasiliana nasii kwa namba hii 0752 444 064 waweza toa chochote ulicho nacho nami nitawakilisha kesho kwenye kikao pia nawe unaekuja kesho coco beach waweza tutumia namba hiyo kutupata mahara tulipo pia uje na mchango wako wa hali na mali. MUNGU AWABARIKI SANA PIA IKUMBUKWE HARAKATI HIZI ZILIANZA MWAKA JANA NA TAYARI TULISHA TOA MSAADA KWENYE KITUO CHA WATOTO YATIMA PALE MBAGALA MAJI MATITU. SHARE UJUMBE HUU
Posted on: Fri, 06 Sep 2013 11:18:32 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015