*hata uwe na njaa kiasi gani, hauwezi kula njaro ukashiba *Hata - TopicsExpress



          

*hata uwe na njaa kiasi gani, hauwezi kula njaro ukashiba *Hata uwe mfupi aje utainama ukivaa innerwear *ata panga iwe kali aje haiwezi kukata kiu* *ata kinyozi awe hodari aje hawezi nyoa vichwa vya habari *ata uwe msafi aje huwezi nawa mikono wakati wa kukula hongo *ata uwe na magari elfu moja utaenda choo kwa miguu * ata uzame aje huwezi toka na samaki katika dimbwi la mapenzi * ata historia ya marehemu iwe nzuri aje haipigiwi makofi * ata fundi awe hodari aje hawezi repair breaking news
Posted on: Thu, 18 Jul 2013 17:02:53 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015