hivi punde matangazo yetu yatakuw ahewani kukujuza yanayojiri - TopicsExpress



          

hivi punde matangazo yetu yatakuw ahewani kukujuza yanayojiri jioni hii uko nami Emmanuel Makundi minongi mwa habari zetu leo ni pamoja na waalim nchini Kenya watangaza mgomo wa nchi nzima kuanzia usiku wa hii leo, hali ya afya ya rais wa zamani wa Afrika kusini yaelezwa kuwa mbaya zaidi, na haijulikani alipo raia wa Marekani aliyefichua siri za usalama wa taifa Edward Snowdan ambaye mara ya mwisho alirpotiwa kuwa nchini Urusi, Karibu
Posted on: Mon, 24 Jun 2013 15:00:28 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015