jamaa mmoja alinunua bangi akaenda nyumbani akajifungia kwa - TopicsExpress



          

jamaa mmoja alinunua bangi akaenda nyumbani akajifungia kwa chumba akatoa nguo zote akaanza kuvuta, kidogo akasikia haimpeleki vizuri akaamua kuvaa nguo kwa ngiza akatoka kurudi kwa aloo muuzia, kumbe kavaa nguo za dadake, kufika akamwambia muuzaji hile bangi ulo niuzia haileti nipe ile kali! Muuzaji akamwambia, kama nimekupea iyo kidogo ukavaa nguo za kike, si nikikupa hiyo kali utapata piriods wewe!? Good nite all.
Posted on: Sat, 13 Jul 2013 16:50:38 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015