jamani wa tanzania kama soka ya kimataifa hatu mudu basi tuangalie - TopicsExpress



          

jamani wa tanzania kama soka ya kimataifa hatu mudu basi tuangalie mchezo mwengine ambao unaweza kutuletea sifa na heshima.si mna ona ethiophia au kenya au usa au jamaica au bahama hizi nchi dunia nzima wanaziheshimu kutokana na michezo wanayo mudu.na sisi tutafute mchezo tutakao umudu kisha tuelekeze nguvu zetu zote katika kimataifa mimi nadhani tutajulikana sana kimataifa.sio tunakomaa kwenye soka tuuuuuuuuu wakat hutujui.waraka kwa wanamichezo wote.
Posted on: Sun, 23 Jun 2013 08:15:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015