je nikweli mwanaume akiwa hana maufundi kwenye mapenzi huonekana - TopicsExpress



          

je nikweli mwanaume akiwa hana maufundi kwenye mapenzi huonekana boya? maana kudemu mmja wa lafiki yangu akaniambia we mi namuacha rafiki ya kwani nikifika kwao mara zote huwa anataka me nimuanze hata kwenye romancy and body touching mpaka tunafikia hali ya kuingiana kimwili bado ni mimi tu speed yangu co IMANI me nimechoka nifanyaje sasa.da wajameni naombeni msaada mashikaji tunusuru mapenzi ya kijana mwenzetu.
Posted on: Thu, 27 Jun 2013 09:49:54 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015