katika saa ya kwanza ya ladha laini hii leo tunaitambulisha rasmi - TopicsExpress



          

katika saa ya kwanza ya ladha laini hii leo tunaitambulisha rasmi sagment ya 'MY CHOICE WITH A REASON' yaani 'CHAGUO LANGU KWA SABABU'Hii ni sagment ambayo inakupa nafasi ya kuchagua nyimbo tatu ambazo ni za taratibu huku ukinipa sababu kwa nini umezichagua,katika kipindi hiki cha wiki hii ya kwanza tutafanya kwa njia ya facebook ila kuanzia wiki ijayo nitatembea katika mtaa wako kisha utaniambia chaguo lako. wa kwanza kunitumia inbox kupitia Jiwe Mmwanakijiji 'chaguo lake kwa sababu'basi ndiye atakaye pata nafasi ya kuchezewa machaguo yake.haya tushirikiane katika hili wapendwa........................loading via spread love all over
Posted on: Mon, 19 Aug 2013 19:18:20 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015