kikweli natakakuawaambia yakua arusha kuna wasanii wenyevipaji sn - TopicsExpress



          

kikweli natakakuawaambia yakua arusha kuna wasanii wenyevipaji sn ila wengiwao hukurupuka na kujisahau yakua alipofika anaitajika kujiongeza na si kulewa sifa arusha wasanii kikweli wanajitaidi ila hujisahau pale tu track yake ikaskika redio marakaza nakuona tayari amemaliza kila k2 mi natakakuwaambia mziki wetu bado tena bado sn kwn wengi wao wanafanya show zao bure na kujitafutiamajina 2 huko atufikikikweli na hautakujakujua ni nn unachokifanya kwenye sanaa yako mtaishia kua na majina 2 fanyeni sanaa kwa kujitambua bana tutafika lengotunalolitaji kua na likaweza kua si jina na mademu wakujue pia na ww ni msanii.
Posted on: Sun, 23 Jun 2013 09:02:17 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015