kwa ufupi katika sports ni pamoja na MECHI ya Ligi Kuu ya Vodacom - TopicsExpress



          

kwa ufupi katika sports ni pamoja na MECHI ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara iliyochezwa jana (Oktoba 6 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kati ya Yanga na Mtibwa Sugar imeingiza sh. 97,557,000. RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amewahakikishia Watanzania kuwa uchaguzi wa kupata Kamati mpya ya Utendaji ya shirikisho utafanyika Oktoba 27 mwaka huu kama ilivyopangwa. MECHI ya Marudiano ya Nusu Fainali ya CAF CHAMPIONZ LIGI kati ya Coton Sport ya Cameroun na Mabingwa Watetezi Al Ahly ya Misri ambayo Jumamosi ilivunjika katika Dakika ya 60 baada Mvua kubwa huku Matokeo yakiwa 1-1 ilirudiwa tena Jana huko huko Yaounde, Cameroun na Timu hizo kutoka Sare ya Bao 1-1. Na, FOWADI wa Swansea City Michu ameitwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa ya Spain kwa mara ya kwanza ili kumbadili David Villa ambae ameumia enka. ungana nami RICHIE FLAVOUR KOCHA MCHEZAJI
Posted on: Mon, 07 Oct 2013 16:31:24 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015